MSANII wa filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ ambaye alitumia muda wake mwingi katika maisha yake ya ujana kwa kujirusha, amesema sasa y...
MSANII wa filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ ambaye alitumia muda wake
mwingi katika maisha yake ya ujana kwa kujirusha, amesema sasa yatosha
na kwamba huu ni muda muafaka kutengeneza maisha yake ya baadaye.
“Naogopa sana kuja kujutia ujana wangu uzeeni, maana unaambiwa fainali uzeeni, kama ni starehe nimeshafanya nyingi sana, sasa hivi nimeamua kuachana nazo maana sioni faida yake,” alisema Nisha.
Msanii wa filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’.
Akipiga stori na gazeti hili, Nisha alisema kwa sasa ameamua kuachana
na maisha hayo kwa vile umri unakwenda na ni vyema akatumia muda
uliobaki kufikiria kuhusu maendeleo yake, hasa yajayo.“Naogopa sana kuja kujutia ujana wangu uzeeni, maana unaambiwa fainali uzeeni, kama ni starehe nimeshafanya nyingi sana, sasa hivi nimeamua kuachana nazo maana sioni faida yake,” alisema Nisha.