Archive Pages Design$type=blogging

Ndoto za ndoa zayeyuka, Rose Ndauka athibitisha kuachana na Chiwaman - Habari kamili Hii hapa.

Msanii wa filamu Rose Ndauka ambaye alikuwa mbioni kufunga ndoa na mzazi mwenzake, msanii wa kundi la TNG, Malick Bandawe maarufu kama ...

Msanii wa filamu Rose Ndauka ambaye alikuwa mbioni kufunga ndoa na mzazi mwenzake, msanii wa kundi la TNG, Malick Bandawe maarufu kama King Chiwaman wameachana kutokana na kutoelewana ndani ya mahusiano yao.

Rose Ndauka na Chiwaman
Akizungumza na bongo5 leo, Rose amesema wamejaribu kukaa chini na kuyaweka sawa mahusiano yao lakini imeshindika na kuona suluhisho ni kuachana.
“Ni kweli tumeachana hivi karibuni. Kuna sababu ambazo zimetufanya mahusiano yetu yaishie hapo. Tumekaa chini na kuzungumza lakini hicho ndicho tumeona ni kitu cha kufanya na cha busara,” amesema Rose.
Kwa upande wake Chiwaman alipost picha ya mtoto wao Instagram huku akiwa ameandika ujumbe wa kuumiza.
“Pain makes you stronger, fear makes you braver.Heartbreak makes you wiser…..I will miss you my naveen and its painful that you will have to call another man FATHER….a wonderful gift, may you take good care of your family and i will always love you my Naveen.”

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: Ndoto za ndoa zayeyuka, Rose Ndauka athibitisha kuachana na Chiwaman - Habari kamili Hii hapa.
Ndoto za ndoa zayeyuka, Rose Ndauka athibitisha kuachana na Chiwaman - Habari kamili Hii hapa.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhgSi6csWTNINFWVfHHkrtzKQ2L6lcd95qf0zwlAp31twsJ4DFdtVFEEeC3NrXa-REgmKmyeIY7fkSh-2cy8JY1WCeKyaYaSWJkhkUOmZzwu5hxYMDP4x3kTOl2p5lbdFu8ZqqKkRsLUvDh/s1600/maliki.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhgSi6csWTNINFWVfHHkrtzKQ2L6lcd95qf0zwlAp31twsJ4DFdtVFEEeC3NrXa-REgmKmyeIY7fkSh-2cy8JY1WCeKyaYaSWJkhkUOmZzwu5hxYMDP4x3kTOl2p5lbdFu8ZqqKkRsLUvDh/s72-c/maliki.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/10/ndoto-za-ndoa-zayeyuka-rose-ndauka.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/10/ndoto-za-ndoa-zayeyuka-rose-ndauka.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago