Basi la kamwana express likilipita lori kwa mwendo kasi karibu na eneo la Chalinze ...
Basi
la kamwana express likilipita lori kwa mwendo kasi karibu na eneo la
Chalinze mkoani Pwani huku dereva huyo akijua sheria za bararani kuwa ni
marufuku kulipita gari nyingine akijua wazi kuwa mbele kuna gari
inakuja hatua ambayo inasababisha usalama wa abiria na raia kwa ujumla.