Archive Pages Design$type=blogging

Ex-Wife wa “Prezzo” amchana “Baby Daddy” kwenye Facebook.

kuna kundi jipya ndani ya FACEBOOK ambalo lina zaidi ya members 18,820 ambalo kazi yake rasmi ni kuwachana na kumwaga habari za wanaum...

Prezzo-
kuna kundi jipya ndani ya FACEBOOK ambalo lina zaidi ya members 18,820 ambalo kazi yake rasmi ni kuwachana na kumwaga habari za wanaume (Fathers/Parents) ambao wapo hai na wazima wa afya ambao hawataki kuwa na muda wa kuhudumia watoto wao au familia zao. Kundi hili lina majanga na Drama za kutosha na michano kutoka kwa “Baby Mamas” ambao wanahangaika na watoto wao kama vile wazazi wa upande wa pili ambao wana maisha yao na kuendelea kujionyesha kwenye Social Media kuwa wana maisha bora wakati hawapo kwa ajili ya watoto wao waliowazaa wenyewe.
Mwanamama mmoja ajulikanaye kama DAISY KIPLAGAT ambae amejitambulisha kuwa yeye ni Baby Mama wa rapper kutoka nchini Kenya Prezidaa PREZZO, aliingia kwenye group hilo na kuanza kumwaga radhi kuhusiana na msanii huyo kuwa hana ushirikiano kabisa katika kulea mtoto ambae amezaa na mwanamama huyo. Daisy aliongeza kuwa hataki chochote kutoka kwa rapper huyo ila kinachomboa ni pale jinsi msanii huyo ambae hajawasiliana na mtoto wao huyo wa kike tokea akiwa na miaka 2 lakini anaendelea kujitamba kuwa ana mtoto wakati hajawahi kutoa hata senti moja kusaidia kulea mtoto huyo.
“He goes around on TV and since he is able to hold a mic or have fake written interviews he is always claiming to be taking his daughter to the best school in Kenya and that she is her princess spoils her rotten. He has never paid her fees never paid any dime for her up keep all this is my sweat and my blessed parents and family support. I don’t need to communicate with him but I wanted to have this space to let you all know that this guy instead chooses to go around with women and lie to them how rich he is and yet he doesn’t have anything and stays at his mum’s house. So when you all hear how he does and loves his daughter please don’t be fooled,” – Daisy Kiplagat.

IMG_8862.JPG

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: Ex-Wife wa “Prezzo” amchana “Baby Daddy” kwenye Facebook.
Ex-Wife wa “Prezzo” amchana “Baby Daddy” kwenye Facebook.
http://www.gongamx.com/wp-content/uploads/2014/09/Prezzo-.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/09/ex-wife-wa-prezzo-amchana-baby-daddy.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/09/ex-wife-wa-prezzo-amchana-baby-daddy.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago