Diamond Platnumz ametajwa kuwania tuzo nyingine za kimataifa zinazofahamika kama ‘THE HEADIES 2014’, ambazo ni tuzo kubwa nchini Nigeria...
Diamond Platnumz ametajwa kuwania tuzo nyingine za kimataifa
zinazofahamika kama ‘THE HEADIES 2014’, ambazo ni tuzo kubwa nchini
Nigeria.
Nasib Abdul ametajwa kuwania kipengele cha Msanii Bora wa Afrika
(Best African Arstist) ambacho kinawaniwa na wasanii wa nje ya Nigeria.
Katika kipengele hicho anashindana na Mafikizolo, Sarkodie na R2Bees.
Tuzo hizo zinatarajiwa kufanyika October 25, 2014.
Wasanii wengine wa Nigeria waliotajwa kuwania tuzo hizo katika
vipengele tofauti ni pamoja na Davido, Wizkid, 2Face, Tiwa Savage, KCee,
Burna Boy na wengine.
Ingia hapa kupata orodha kamili
Kuhusu Tuzo za THE HEADIES
Also referred to as Hip Hop world awards; The Headies since debuting
in 2006 has become one of the most anticipated events year in year out.
Today, the Awards ceremony is the biggest award ceremony in the country.
Within the space of six years it has cemented itself as the authentic
awards’ brand and has continued to deliver an annual awards ceremony
that has never failed to dazzle, inspire, excite and entertain. In
Nigeria’s entertainment calendar, the date for the Hip Hop World Awards
is one of the most anticipated, if not the most important.
Conceived to reward artistes with genuine artistic talent in a
developing music industry, The Headies debuted on March 10, 2006 at the
MUSON Centre Onikan, Lagos. Tagged “The revolution is here”, the event
was hosted by Darey Art Alade and left many spell bound and dazzled by
the sheer brilliance and glamour of the event. It was the first time
that an awards ceremony of international standard was organized in its
entirety by Nigerians. Everything about the awards was a first; from the
limousine rides, the red carpet, the stage to the well choreographed
and rehearsed performances.