post-feature-image
HomeBurudani

BOZI AELEZA SABABU ZA KUTODUMU PENZINI

Stori: Mayasa Mariwata MUUZA sura kwenye sinema za Kibongo, Fatuma Ayubu ‘Bozi’ a...

NYAMWELA ALALAMIKIA WIVU WA MKEWE
KAJALA, HIVI HUKUJIFUNZA KITU KWA WEMA?
SISTER FAY AMKANA MZEE MAGALI
Stori: Mayasa Mariwata MUUZA sura kwenye sinema za Kibongo, Fatuma Ayubu ‘Bozi’ ambaye alikiri kubanjuka na mastaa wasiopungua 15, amesema sababu zinazomsababisha asidumu na mwanaume mmoja kwenye mapenzi ni kutokana na mateso aliyoyapata kwenye ndoa ya utotoni.
Muuza sura kwenye sinema za Kibongo, Fatuma Ayubu ‘Bozi’.
Akibonga mawili matatu na paparazi wetu,  Bozi alisema tatizo la kutokuwa na msimamo kwenye mapenzi linatokana na kuumizwa na mwanaume ambaye alimuamini na kuingia naye kwenye ndoa, ambapo aliambulia vipigo na mafumanizi ya mara kwa mara.
“Ukweli mshipa wa kupenda umeshanikatika, nikiwa na mwanaume kwa kipindi kifupi tu namchukia na kusitisha uhusiano, chanzo kinatokana na mwanaume ambaye alinibembeleza anioe nikiwa na umri wa miaka 17 tu na kila siku kufuma SMS za wanawake na hata kumshuhudia, nilichoambulia ni mtoto ambaye jukumu zima la malezi ni mimi mwenyewe,” alisema Bozi.

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: BOZI AELEZA SABABU ZA KUTODUMU PENZINI
BOZI AELEZA SABABU ZA KUTODUMU PENZINI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgl2woAJuirARf2Z9aijgr_WCA3IlQ7qiV95-x-0JswvcrNKE0Vq3aOhwKD14riKQNXW7zURHvR1QWGepbrZ0svgAShslcdNgwNxpbOBicpYIMqyzuXEomasck2uF9yh-jBUcNAs_UHeFIb/s1600/IMG20141110WA0007.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgl2woAJuirARf2Z9aijgr_WCA3IlQ7qiV95-x-0JswvcrNKE0Vq3aOhwKD14riKQNXW7zURHvR1QWGepbrZ0svgAShslcdNgwNxpbOBicpYIMqyzuXEomasck2uF9yh-jBUcNAs_UHeFIb/s72-c/IMG20141110WA0007.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2015/01/bozi-aeleza-sababu-za-kutodumu-penzini.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2015/01/bozi-aeleza-sababu-za-kutodumu-penzini.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago