Archive Pages Design$type=blogging

NYAMWELA ALALAMIKIA WIVU WA MKEWE

RAIS wa Chama cha Wacheza Shoo wa Muziki wa Dansi Tanzania, anayepiga mzigo na Bendi ya Extra Bongo, Hassan Musa ‘Nyamwela’ ameonesh...

RAIS wa Chama cha Wacheza Shoo wa Muziki wa Dansi Tanzania, anayepiga mzigo na Bendi ya Extra Bongo, Hassan Musa ‘Nyamwela’ ameonesha kuulalamikia wivu alionao mkewe aitwaye Hawa baada ya kufunguka kuwa, kutokana na hali hiyo analazimika kuongozana naye kila sehemu.
RAIS wa Chama cha Wacheza Shoo wa Muziki wa Dansi Tanzania, anayepiga mzigo na Bendi ya Extra Bongo, Hassan Musa ‘Nyamwela akiwa na mkewe aitwaye Hawa.
Akipiga stori na Ijumaa hivi karibuni, Nyamwela alisema popote aendako lazima utamuona mkewe pembeni lengo ni kuondoa maswali mengi pindi anaporudi nyumbani usiku mkubwa.
Nyamwela akiwa ndani ya Global TV Online.
“Unajua shoo huwa tunamaliza saa tisa hadi nifike kwangu naweza kufika saa kumi na robo au na nusu sasa hapo lazima anibane na maswali ya kwa nini nimechelewa. Kimsingi shemeji yenu ana wivu sana ndiyo maana kila sehemu niko naye,” alisema Nyamwela.
- GPL

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: NYAMWELA ALALAMIKIA WIVU WA MKEWE
NYAMWELA ALALAMIKIA WIVU WA MKEWE
http://api.ning.com:80/files/bYocnjXOIXUnLtzO5f5iJOlPoocM4Qt2OV2535MoFlQATQo-TGPYnxy8wVS7Wt-LMc9YsL550bLy4yIuZtdRX0Vh0WtW9Wa8/3.jpg?width=650
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/09/nyamwela-alalamikia-wivu-wa-mkewe.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/09/nyamwela-alalamikia-wivu-wa-mkewe.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago