MKONGWE wa filamu kitambo, Sabrina Rupia ‘Cathy’ amesema kuwa jina analotumia katika sanaa lina mkosi hivyo yuko kwenye mkakati wa kuli...
MKONGWE wa filamu kitambo,
Sabrina Rupia ‘Cathy’ amesema kuwa jina analotumia katika sanaa lina
mkosi hivyo yuko kwenye mkakati wa kulibadilisha na kujipa jina lingine
labda linaweza kumkaa vizuri.
“Unajua naona jina hili lina mkosi kwa sababu kitu kifanyika labda mimi nimepita tu basi litatajwa jina langu kitu ambacho mimi sikipendi na kuona labda lina matatizo jamani, haliko sawa kuendelea kuwa nalo,” alisema Cathy huku akidai yuko katika mikakati ya kutafuta jina lingine zuri ambalo anaona linamfaa. zaidi.