Archive Pages Design$type=blogging

MAHABA NIUE YAMFICHA SNURA

MAHABAT! Kuonesha kwamba mahaba yamemkolea, staa wa Bongo Fleva, Snura Mushi ‘Mamaa Majanga’ amedaiwa kukacha shughuli za muziki na kut...

MAHABAT! Kuonesha kwamba mahaba yamemkolea, staa wa Bongo Fleva, Snura Mushi ‘Mamaa Majanga’ amedaiwa kukacha shughuli za muziki na kutumikia penzi lake kwa mahaba motomoto.Staa wa Bongo Fleva, Snura Mushi ‘Mamaa Majanga’ akiwa na mwandani wake, DJ Hunter.
Kudhihirisha hilo, chanzo chetu kimevujisha picha za mrembo huyo akiwa na mchumba wake anayefahamika kwa jina moja la DJ Hunter wakiwa katika malovee mazito kwa kupigana mabusu.
“Yani Snura sasa hivi muziki ameuweka pembeni anatumikia mahabati mwanzo mwisho,” kilidokeza chanzo chetu.Meneja wa Snura, Mohamed Kavu ‘HK’.
Jitihada za kumpata msanii huyo kuzungumzia ukimya wake kwenye gemu hazikuzaa matunda lakini meneja wake, Mohamed Kavu ‘HK’ amekuwa akisisitiza kuwa msanii wake huyo yupo nchini Afrika Kusini katika shughuli za kimuziki huku pia kukiwa na madai kuwa msanii huyo ni mjamzito tarifa ambazo pia zinakanusha na HK.

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: MAHABA NIUE YAMFICHA SNURA
MAHABA NIUE YAMFICHA SNURA
http://api.ning.com:80/files/o-1NtXzEejIB8g2ZCOyt6XdcviNBLvOCsiX4hogzrZB*vCxAiePYn4BValA7HnUK98gbNwa8N8NDsFW4l1CZndTHbg9fKusm/fujo.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/10/mahaba-niue-yamficha-snura.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/10/mahaba-niue-yamficha-snura.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago