Archive Pages Design$type=blogging

SISTER FAY AMKANA MZEE MAGALI

MSANII wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Faidha Omari ‘Sister Fay’ amedaiwa kumkana Charles Magali ‘Mzee Magali’ na kusema siyo baba ya...

MSANII wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Faidha Omari ‘Sister Fay’ amedaiwa kumkana Charles Magali ‘Mzee Magali’ na kusema siyo baba yake halisi baada ya ndugu zake kumjia juu na kumtenga.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Faidha Omari ‘Sister Fay’
Kikizungumza na Ijumaa chanzo makini kilisema kwamba, Sister Fay amemkana Mzee Magali baada ya kubainika kwamba baba yake orijino alishafariki dunia siku nyingi.Baada ya kuzinyaka habari hizo mapaparazi wetu walimtafuta Sister Fay ambaye alisema: “Mimi nililelewa na mama tu, baadaye Mzee Magali alipojitokeza na kusema mimi ni mwanaye nikakubali.
‘Sister Fay’ akiwa kwenye picha ya pamoja na Mzee Magali.
“Lakini hivi karibuni ndugu zangu walijitokeza na kuniambia kuwa baba yangu alifariki hivyo kama nitaendelea kujiweka kwa Mzee Magali watanitenga, kwa hiyo naomba niseme kwamba Mzee Magali siyo baba yangu,” alisema Sister Fay.

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: SISTER FAY AMKANA MZEE MAGALI
SISTER FAY AMKANA MZEE MAGALI
http://api.ning.com:80/files/bYocnjXOIXVW*rH9M9fH7qcH6u3CdVWJ9QFwnc*4IBXV1urSZ*v7lX56LjToZw4vnr-ATuPFzDiQyO*UrkljKEuKrDtcUc2k/DSC_0008copy.JPG?width=650
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/09/sister-fay-amkana-mzee-magali.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/09/sister-fay-amkana-mzee-magali.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago