Archive Pages Design$type=blogging

AMANDA: 2014 ULIKUWA FULL MAJANGA KWANGU

Hamida Hassan Msanii wa filamu Bongo, Tamrina Posh ‘Amanda’ amesema mwaka uliopita ...

Hamida Hassan
Msanii wa filamu Bongo, Tamrina Posh ‘Amanda’ amesema mwaka uliopita wa 2014 ulikuwa mbaya sana kwake kwani aliandamwa na majanga yaliyotikisa maisha yake.

Msanii wa filamu Bongo, Tamrina Posh ‘Amanda’.
Akizungumzia namna alivyoupkea mwaka wa 2015 Amanda alisema, kwanza anamshukuru Mungu kwa kuuona akiwa mzima lakini akamuomba amuepushe na mabalaa kwani uliopita haukuwa rafiki kwake.
“Mwaka 2014 bora umeisha, ulikuwa mbaya sana kwangu, mwanzo ulikuja vizuri lakini nikashangaa katikati ukanigeuka, nimenusurika kifo lakini namshukuru Mungu naendelea kupumua hadi leo,” alisema Amanda.

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: AMANDA: 2014 ULIKUWA FULL MAJANGA KWANGU
AMANDA: 2014 ULIKUWA FULL MAJANGA KWANGU
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhA4lwFsY9aExwteh4c2CO_H2WJGjdYVMZ-47qvVS-I6qMZXdw9XUR3P4sdU4IspVqeoQIWB3eKcjw_SEtsGp9JW8DRY-1D66cvalDGxaCH3j9qJ5Hp1TQWOA17AAZAPO_o8ZmmL6hiqpr1/s1600/AMANDA1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhA4lwFsY9aExwteh4c2CO_H2WJGjdYVMZ-47qvVS-I6qMZXdw9XUR3P4sdU4IspVqeoQIWB3eKcjw_SEtsGp9JW8DRY-1D66cvalDGxaCH3j9qJ5Hp1TQWOA17AAZAPO_o8ZmmL6hiqpr1/s72-c/AMANDA1.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2015/01/amanda-2014-ulikuwa-full-majanga-kwangu.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2015/01/amanda-2014-ulikuwa-full-majanga-kwangu.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago