Post by Diamond Platnumz . Alichokisema mwanadada zamaradi kuhusiana na zawadi hiyo BIRTHDAY YA MWAKA!!!!!!!!! Hizi nd...

Alichokisema mwanadada zamaradi kuhusiana na zawadi hiyo BIRTHDAY YA MWAKA!!!!!!!!! Hizi ndio zawadi kubwa alizopata WEMA leo.... NISSAN MURRANO na BMW moja kali hatari NYEUPE!!!! Asante mmanyema mwenzangu @diamondplatnumz umefunga watu midomo kudaadeki!!!! Hiyo nyeusi hapo ndio zawadi aliyotoa Diamond kwenda kwa @wemasepetu na zaidi alieleta Kukabidhi ni MAMA DIAMOND!!! how sweeeeeet..... haya sijui jipya lipi tena hapa la kuongea!!!
Utaniazimaga
kamoja wema niwe nacruise nipumzishe kidogo kipenzi changu.. lol
#kidding HAPPY BIRTHDAY MY DARLING!!!!!!! Unastahili kila kitu!!!repost

WEMA akimlisha keki mama mkwe wake katika eneo la tukio

WEMA akimlisha keki mama mkwe wake katika eneo la tukio