Stori: Hamida Hassan STAA wa filamu za Kibongo, Wastara Juma, amepinga vikali taari...
Stori: Hamida Hassan STAA
wa filamu za Kibongo, Wastara Juma, amepinga vikali taarifa kuwa
ametolewa posa na msanii mwenzake, Bond Bin Sinan na kusema kuwa kwa
sasa hahitaji kuchumbiwa, wala bwana kwani hajaamua kwenda huko.
“Sitaki kuolewa wala kuchumbiwa, wala bwana bado sijaamua kwenda huko,” alisema Wastara ambaye amekuwa akipinga vikali kuwa na uhusiano Bond licha ya kuonekana naye kwenye pozi tata mara kwa mara.
Staa wa filamu za Kibongo, Wastara Juma.
Akikitendea haki kipaza sauti cha Ijumaa Wikienda, Wastara alisema
anaona kuwa aliyeeneza habari hizo anamuwangia kwani hana wazo la
kuchumbiwa kwa sasa.“Sitaki kuolewa wala kuchumbiwa, wala bwana bado sijaamua kwenda huko,” alisema Wastara ambaye amekuwa akipinga vikali kuwa na uhusiano Bond licha ya kuonekana naye kwenye pozi tata mara kwa mara.