post-feature-image
HomeBurudani

DIVA WA CLOUS FM, AUNT KIMENUKA KISA MUME WA MTU!

JAMBO limezua jambo! Staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson amemvaa prizenta wa Kipindi cha Ala za Roho cha Redio Cl...

JAMBO limezua jambo! Staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson amemvaa prizenta wa Kipindi cha Ala za Roho cha Redio Clouds FM, Lovennes Malinzi ‘Diva’ kwa madai kwamba amemtangaza mitandaoni kuwa amepachikwa ujauzito na mume wa mtu ambaye ni densa wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Moses Peter ‘Moze Iyobo’, jambo ambalo ni uongo.
Prizenta wa Kipindi cha Ala za Roho cha Redio Clouds FM, Lovennes Malinzi ‘Diva’.
Akizungumza kwa masikitiko ya hali ya juu, Aunt alisema kuwa hakutegemea mtu kama Diva angetumia nafasi yake ya utangazaji kumchafua akimsingizia kuwa ni mjamzito, jambo ambalo limemsababishia matatizo kwenye ndoa yake na mumewe Sunday Demonte.
“Mwanamke kuwa mjamzito si jambo baya lakini kunichafua mbele ya jamii eti nina mimba ya Moze Iyobo, imeniuma sana.

“Hebu vuta picha wakwe, mawifi na mashemeji ambao tayari wameshasikia na kusoma kwenye ukurasa wa Diva, akisema mimi nina mimba ya yule mtoto, dah! Nimeumia sana, kwa kweli siwezi kuliacha lipite hivihivi.
Staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson.
“Huyo Diva lazima nitasimama naye mahakamani,” alisema Aunt.
Hivi karibuni, kwenye ukurasa wake wa Instagram, Diva aliandika: “Wakati sakata la mtoto mzuri Aunt Ezekiel ana mimba ya Moze Iyobo likipamba moto, mimba ambayo ni tangu Mwezi wa Ramadhan, sasa hesabuni miezi, hapa ni miezi miwili au mitatu.”
Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: DIVA WA CLOUS FM, AUNT KIMENUKA KISA MUME WA MTU!
DIVA WA CLOUS FM, AUNT KIMENUKA KISA MUME WA MTU!
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEik1paBXL759FTaLB4lcjOGtU3TlFMk3HROqGsivEEEGMcMXndacUDJhJjOEjDHup3I09irJmhDzLRtvfukLaodzwE4xHAlE5zFDNDYAn97I613x-LH28jAGKe3sOvIBBiKbn4UKoftfkA/s1600/diva.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEik1paBXL759FTaLB4lcjOGtU3TlFMk3HROqGsivEEEGMcMXndacUDJhJjOEjDHup3I09irJmhDzLRtvfukLaodzwE4xHAlE5zFDNDYAn97I613x-LH28jAGKe3sOvIBBiKbn4UKoftfkA/s72-c/diva.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/08/diva-wa-clous-fm-aunt-kimenuka-kisa.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/08/diva-wa-clous-fm-aunt-kimenuka-kisa.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago