post-feature-image
HomeBurudani

TETESI: ETI SHILOLE HAKWENDA UBELGIJI KUFANYA SHOO KAMA ALIVYODAI

Kweli mjini kuna mambo. Hivi majuzi mwanadada Shilole aliuga umma kuwa anaenda ubeligiji kupiga show ya muziki, lakini wachunguzi...

Kweli mjini kuna mambo. Hivi majuzi mwanadada Shilole aliuga umma kuwa anaenda ubeligiji kupiga show ya muziki, lakini wachunguzi wa mambo wametutonya kuwa jambo hili si kweli bali mrembo huyu amepelekwa nchini ubeligiji kula bata tu na mzee mmoja hivi mwenye hela zake za kutosha, na show ilikuwa kama njia ya kuzuga wananchi tu ili mpango wake huo usijulikane kirahisi hasa na mpenzi wake Nuh mziwanda ambaye ameachwa nchini bila kujua nini kinaendelea.

WACHUNGUZI WAMEJUAJE? Wapasha habari hao wanadai kuwa, kawaida ya shilole akienda mahali kupiga show lazima kuwe na picha za kutosha juu ya tukio hilo, lakini safari hii akiwa huko ubelgiji ni picha zake tuu akiwa mitaani bila kujulikana hasa anafanya nini. Kwa wanaomfuatilia kwa karibu mwanadada huyo kwenye mitandao ya kijamii wanaweza wakatusadia kuhakikisha jambo hili
 TETESI: Eti Shilole hakwenda ubelgiji kufanya shoo kama alivyodai. Adaiwa kupelekwa kula bata na mzee mmoja mwenye pesa ya kutosha

SIKU ALIYOSEMA ANAPIGA SHOW (JUMAMOSI TAR 29/11/2014) Wadakuzi hao wanadai kuwa siku ya tukio hilo mwanadada shilole hakutupia picha kama kawaida yake walwa kuweka video ya show yake usiku huo (kama alivyofanya akiwa Cape town hivi majuzi ambayo aliweka mpaka video clip,) zaidi zaidi ya picha mbili tatu alizokuwa ameshikilia MIC bila ya watu (watazamaji) wala maneno yoyote ya kuonesha kuwa amepiga show ya aina gani usiku huo. MASWALI YA MSINGI? Je ni kweli mwanadada huyo alienda kupiga show? Ama alienda kunoniihino na jamaa huyu aliyeamua kulisha bata ndefu ulaya? Kama lipiga show kweli, je show hiyo iliboa sana kiasi kwamba hawezi hata kuweka picha? Au hii ilikuwa show ‘binafsi’? Tupe maoni yako mdau...
Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: TETESI: ETI SHILOLE HAKWENDA UBELGIJI KUFANYA SHOO KAMA ALIVYODAI
TETESI: ETI SHILOLE HAKWENDA UBELGIJI KUFANYA SHOO KAMA ALIVYODAI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiHhFCGpUvwqQCjTs2LyZjvrhcAbHWNJIoOqP7Z_EEXRRz-p2a4uNtY84a5M81AS-FapP_e9-MLoudeOnc_v-1tsOnPzsLhip-NFu7n_dZOSH0oCD5eeEfdDdlhqS1QG1-jyp9Hu1gitTk/s640/IMG-20140909-WA0006.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiHhFCGpUvwqQCjTs2LyZjvrhcAbHWNJIoOqP7Z_EEXRRz-p2a4uNtY84a5M81AS-FapP_e9-MLoudeOnc_v-1tsOnPzsLhip-NFu7n_dZOSH0oCD5eeEfdDdlhqS1QG1-jyp9Hu1gitTk/s72-c/IMG-20140909-WA0006.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/12/tetesi-eti-shilole-hakwenda-ubelgiji.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/12/tetesi-eti-shilole-hakwenda-ubelgiji.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago