STAA wa sinema za Kibongo, Shamsa Ford amefunguka kuwa hana rafiki yeyote maarufu ndani ya Bongo Movies. Staa wa sinema za K...
STAA wa sinema za Kibongo, Shamsa Ford amefunguka kuwa hana rafiki yeyote maarufu ndani ya Bongo Movies.
Staa wa sinema za Kibongo, Shamsa Ford.
Akizungumza na paparazi wetu, Shamsa alisema kuwa tangu huko nyuma
alishawafuta marafiki wote ambao ni wasaliti na badala yake mtu pekee
ambaye ni rafiki yake ni mwigizaji mwenzake, Wellu Sengo ambaye
anachipukia.
“Unajua ni bora uwe hata na rafiki mmoja ambaye anakujali na kukuthamini, wengine wote mimi niliwafutilia mbali kwa sababu ukiwa nao wengi wanaweza kukutia hata ‘stress’ zisizokuwa na maana kabisa,” alisema Shamsa.