post-feature-image
HomeBurudani

MTU AMSHOBOKEE BWANA WANGU AONE - LUNGI

STORI: HAMIDA HASSAN Staa wa filamu za Kibongo, Lungi Mwaulanga amesema mwanaume ali...

BIFU LA FLORA, NISHA LAFIKA PABAYA
SERENGETI BOY, NA MKE WA KIGOGO WAKUTWA LIVE WAKINONGONEKA
AUNT EZEKIEL HANA NDOA - SHEHE
STORI: HAMIDA HASSAN
Staa wa filamu za Kibongo, Lungi Mwaulanga amesema mwanaume aliyezaa naye (jina ni siri yake) anampenda sana na mwanamke asiyejipenda amshobokee aone kitakachompata.

Staa wa filamu za Kibongo, Lungi Mwaulanga.
Akipiga stori na Ijumaa Lungi amesema anajua kuwa wapo wanawake ambao wakiamua kutembea na waume za watu hawashindwi lakini akasema, kwa bwana wake aliyezaa naye akigundua kuna anayemnyemelea, atakufa naye.
“Nawataha-dharisha tu wasije kuthubutu kutoka na mwanaume ambaye ananipa jeuri hapa mjini kwani nitawafanyia kitu mbaya. Wanaonijua wananielewa na wanaujua moto wangu ninapoingiliwa kwenye anga zangu,” alisema Lungi.
Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: MTU AMSHOBOKEE BWANA WANGU AONE - LUNGI
MTU AMSHOBOKEE BWANA WANGU AONE - LUNGI
http://api.ning.com:80/files/17StHKe5zK71D4xMVKTlF7BP1aZfmQ7fl0yiweHouM30qoedIngxLO49euqHOdQpDgxXLsfu1bFMA237r6j3Y8FZltY4pPHw/IMG_0074.jpg?width=650
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/11/mtu-amshobokee-bwana-wangu-aone-lungi.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/11/mtu-amshobokee-bwana-wangu-aone-lungi.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago