post-feature-image
HomeHot News

Upasuaji wa maumbile wapelekea mwanamke kufariki

Mwanamke mmoja amefariki wakati akifanyiwa upasuaji wa kurekebisha maumbile. Mwanamke huyo raia wa Uingereza mwenye umri wa m...

TENDO LA NGONO KWA WANAWAKE WENGI NI TIBA YA SARATANI
Kanisa lawatimua waumini walio nusu uchi
Mwanafunzi wa Kidato cha pili atoroka nyumbani kisa???
Mwanamke mmoja amefariki wakati akifanyiwa upasuaji wa kurekebisha maumbile.
Mwanamke huyo raia wa Uingereza mwenye umri wa miaka 24 amefariki nchini Thailand alikokwenda kufanyiwa upasuaji huo, ambapo taarifa kutoka nchini humo zinasema baada ya kupatiwa vidonge vya usingizi mapigo yake ya moyo yalisimama.
Taarifa kutoka Thailand zinasema upasuaji huo ni wa awamu ya pili kufanyiwa, baada ya kutoridhiwa na matokeo ya upasuaji wa awali.
Waziri wa afya Boonruang Triruangworawat amesema jitihada zilizofanywa kuokoa maisha ya msichana huyo hazikusaidia.
Daktari aliyekuwa akimfanyia upasuaji huo aliyefahamika kwa jina la Dk. Sompob Sansiri anashikiliwa na polisi, huku serikali ikitangaza kuifungia kliniki alipokuwa akifanyia upasuaji kwa siku 60 kwa ajili ya kupisha uchunguzi.
Inasemekana kuwa unafuu wa huduma hiyo unapelekea watu wengi kutoka nchi za Ulaya kukimbilia Thailand licha ya kuripotiwa kutokea vifo vingi vya wateja wake
Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: Upasuaji wa maumbile wapelekea mwanamke kufariki
Upasuaji wa maumbile wapelekea mwanamke kufariki
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjHutvC7VlsugVxMGlKBxKYMZAiuIbl9Fs3XR_eRrEo_xlBEKSaYqX4qNmNGPc7XSL-0iUVKHIXpVamWaEqtr_IhqaEbkDyHzxYoH7Hc7YtwniRQwybNHS1-ngTof4F-OTjL3oNCLl3ofP0/s1600/Surgery.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjHutvC7VlsugVxMGlKBxKYMZAiuIbl9Fs3XR_eRrEo_xlBEKSaYqX4qNmNGPc7XSL-0iUVKHIXpVamWaEqtr_IhqaEbkDyHzxYoH7Hc7YtwniRQwybNHS1-ngTof4F-OTjL3oNCLl3ofP0/s72-c/Surgery.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/10/upasuaji-wa-maumbile-wapelekea-mwanamke.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/10/upasuaji-wa-maumbile-wapelekea-mwanamke.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago