post-feature-image
HomeBurudaniHot News

TENDO LA NGONO KWA WANAWAKE WENGI NI TIBA YA SARATANI

Kulala na wanawake wengi kunapunguza hatari ya kupatikana na ugonjwa wa saratani ya kibofu cha mkojo,kulingana na utafiti.Katika ut...

MBUNGE WA MBEYA MJINI JOSEPH MBILINYI(SUGU) APATA AJALI MLIMA KITONGA
Hii Kali, Dada wa kazi akikosa watoto huwa wanapiga Mbwa/Paka - Tazama
MASKINI! UGONJWA WA FIGO UNAVYOMTESA MTOTO HUYU!


Kulala na wanawake wengi kunapunguza hatari ya kupatikana na ugonjwa wa saratani ya kibofu cha mkojo,kulingana na utafiti.Katika utafiti uliochapishwa katika jarida la saratani,Watafiti kutoka chuo kikuu cha Montreal wamebaini kwamba ikilinganishwa na wanaume walio na mpenzi mmoja katika maisha yao yote, kulala na zaidi ya wanawake 20 kunapunguza uwezekano wa kupatikana na ugonjwa huo kwa asilimia 28.
Wanaume 3,208 walishiriki katika utafiti huo ambapo kati yao Wanaume 1,590 walipatikana na ugonjwa huo kati ya Septemba mwaka 2005 na Agosti mwaka 2009.
Kwa jumla watafiti hao walibaini kwamba wanaume wenye saratani ya kibofu cha mkojo kuna uwezekano mara mbili kwa wao kuwa na watu wa familia zao wenye saratani.Hatahivyo ushahidi unaonyesha kwamba idadi kubwa ya wapenzi wa kike miongoni mwa wanaume inapunguza tishio la ugonjwa huo.

Mwanamume anapojamiana na zaidi ya wanawake 20 katika maisha yake,tisho la kupata ugonjwa huo linapoungua kwa asilimia 28 mbali na asilimia 19 kwa aina yoyote ya ugonjwa wa saratani.
Utafiti huo pia umebaini kwamba mmoja kati ya wanaume wanne wa kiafrika hupatikana na saratani.
Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: TENDO LA NGONO KWA WANAWAKE WENGI NI TIBA YA SARATANI
TENDO LA NGONO KWA WANAWAKE WENGI NI TIBA YA SARATANI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhbHFnRVSjmqgU7fROREuzpvrTpPbGIGgcOyZKyvWmtAG4qNw_dsDNhLG8BiZ6TG99YgaLNeDSXr6eYzRY9xINX6FTHPjim2bepmbZ0giABhG_ppcBrW89xk_llCDw3GlUaQaIjBauxy4JF/s640/PICHA%252BCHAFU04-793956.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhbHFnRVSjmqgU7fROREuzpvrTpPbGIGgcOyZKyvWmtAG4qNw_dsDNhLG8BiZ6TG99YgaLNeDSXr6eYzRY9xINX6FTHPjim2bepmbZ0giABhG_ppcBrW89xk_llCDw3GlUaQaIjBauxy4JF/s72-c/PICHA%252BCHAFU04-793956.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/11/tendo-la-ngono-kwa-wanawake-wengi-ni.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/11/tendo-la-ngono-kwa-wanawake-wengi-ni.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago