post-feature-image
HomeBurudani

Epuka Makosa haya makubwa katika Mahusiano Mapya

Epuka kumpigia pigia simu kila mara kwa ni baadae uk ipunguza kumpiga hata kuelewa, mpigie simu tu mara chache ...

Live Video:- Irene Uwoya na Rich wapigana denda live kwenye set ya movie mpya
‘Shikolobo’ Ndio Ngoma Mpya anakuja nao Shetta, akimshirikisha Msanii wa Nigeria
Ndege kubwa zaidi ya abiria duniani yaanza safari ndefu zaidi, angalia picha za ndani - Picha
Epuka kumpigia pigia simu kila mara kwani baadae ukipunguza kumpiga hata kuelewa, mpigie simu tu mara chache na mwambie jambo muhim then katasimu

Chukua muda kujua anapenda nini usikurupuke tu kumpeleka movies au club wakati hapendi, utamboa mara moja.

Usijisifie sana kuwa eti wewe unajua sana mapenzi kwani hata yeye atatarajia makubwa kwako kumbe wewe mwenyewe huna kitu, tulia tu aje kujionea mwenyewe, kwani huwa mwanamke anapenda sana surprise 


Usionyeshe kukasirishwa na jambo kwa haraka, kwani utampa nafasi ya kukujua udhaifu wako mapema sana.

Asijue nafasi yako ya kazi mapema wala kipato chako mwache akupende kama ulivyo hayo mengine atajua baadae.
Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: Epuka Makosa haya makubwa katika Mahusiano Mapya
Epuka Makosa haya makubwa katika Mahusiano Mapya
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiIY_24_CkA6nGn7d9L0EnXlg5IZ6-nhNVjX9wYUpY_OnOGM2xWcJ-AY4voT_NCSPuoK3B8oxzBqsC-VVfMliiXFuVct1OOdyrgXuA9hOXnfBVVazfG7LR43UiHli4Tmr-8LPFr2kuMJMq6/s1600/424680_384276688309553_773588512_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiIY_24_CkA6nGn7d9L0EnXlg5IZ6-nhNVjX9wYUpY_OnOGM2xWcJ-AY4voT_NCSPuoK3B8oxzBqsC-VVfMliiXFuVct1OOdyrgXuA9hOXnfBVVazfG7LR43UiHli4Tmr-8LPFr2kuMJMq6/s72-c/424680_384276688309553_773588512_n.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/10/epuka-makosa-haya-makubwa-katika_25.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/10/epuka-makosa-haya-makubwa-katika_25.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago