post-feature-image
HomeBurudani

‘Shikolobo’ Ndio Ngoma Mpya anakuja nao Shetta, akimshirikisha Msanii wa Nigeria

Rapper Shetta amedai kuwa anatarajia kuachia wimbo mpya uitwao ‘Shikolobo’ aliomshirikisha msanii wa Nigeria. Akizungumza na G...

MTOTO WA FID Q ASHUKURU KWA TUZO YA BABA YAKE #KTMA2014 [VIDEO].
CLIP ZA KILI MUSIC AWARD HIZI HAPA
TOTOO ZE BINGWA AAMUA KUJIWEKA KANDO KILI MUSIC AWARDS
Rapper Shetta amedai kuwa anatarajia kuachia wimbo mpya uitwao ‘Shikolobo’ aliomshirikisha msanii wa Nigeria.
Akizungumza na Global TV, Shetta amesema wimbo huo upo tayari na anachokisubiria ni maandalizi ya mwisho pamoja na uingizaji wa sauti kwa msanii wa Nigeria.
“Nizungumze kwamba kuna project mpya inakuja nilitakiwa niende Nigeria ila bahati mbaya mambo ya Ebola Ebola haya, serikali nahisi imepiga stop kidogo kwenye safari za kutoka lakini project ipo na kuna collaboration kubwa nitaifanya na Mnigeria mmoja surprise sasa hivi siwezi kumtaja. Afrika soko lipo lipo kule hata rotation ya muziki tunaiona. So ni vizuri penye nafasi tukaitumia. Ngoma nishafanya tayari kuna vitu vinarekebishwa inatumwa na jamaa aingize aje hapa,” alisema Shetta
Pia Shetta alizunguzia connection ya kufanya ngoma na msanii huyo pamoja na jinsi alivyomlipa.
“Ina depend the way ukaribu wenu the way unawasiliana vipi? Mimi hapa ameniconnect Diamond kwasababu sasa hivi Diamond when you talk about about Africa, East africa inamzungumzia Diamond kwahiyo ana connection nyingi. Nisivunge, Diamond amenisaidia hilo. Kwahiyo ngoma ipo tayari inaitwa Shikolobo, ikiwa tayari itazungumziwa.”
Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: ‘Shikolobo’ Ndio Ngoma Mpya anakuja nao Shetta, akimshirikisha Msanii wa Nigeria
‘Shikolobo’ Ndio Ngoma Mpya anakuja nao Shetta, akimshirikisha Msanii wa Nigeria
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhgd1_pIg2Y3QmJ_2a0ynL_JykK6P8i5fchLjMguUBJ-e0uLlrWCKgfRK2JtdOa3U7xjt7RqLjR74S9a0STZik7mpHi4YSvwq8aJW6rVBj5o1lswrEYXq7dnCDy_bMKHliZ8s7_WMkEaaO7/s1600/shettaa-530x530.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhgd1_pIg2Y3QmJ_2a0ynL_JykK6P8i5fchLjMguUBJ-e0uLlrWCKgfRK2JtdOa3U7xjt7RqLjR74S9a0STZik7mpHi4YSvwq8aJW6rVBj5o1lswrEYXq7dnCDy_bMKHliZ8s7_WMkEaaO7/s72-c/shettaa-530x530.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/09/shikolobo-ndio-ngoma-mpya-anakuja-nao.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/09/shikolobo-ndio-ngoma-mpya-anakuja-nao.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago