Shirika la ndege la Australia linalofahamika kama Qantas limeanza kurusha ndege yake amb...
Shirika la ndege la Australia
linalofahamika kama Qantas
limeanza kurusha ndege yake ambayo inatajwa kuwa kubwa zaidi ya abiria
duniani na inayofanya safari zake kwa umbali mrefu zaidi.
Ndege hiyo iliyotwa kama Airbus A380 ilitua katika uwanja wa
kimataifa wa Dallas-Fort Worth saa 15 tangu ilipoondoka Sydney,
Australia safari ya Kilometer 13,805 ikiwa na abiria 480 .
Uwanja wa kimataifa wa Dallas- Fort Worth ni uwanja mkubwa wa ndege
unaounganisha ndege zote za Marekani na Latin America. Uwanja huo
umeonekana kufaa zaidi kwa ndege hiyo.
Angalia picha za ndani:
Chumba cha kulala
