post-feature-image
HomeBurudani

RAY C ALA TENDA NONO

Mungu mkubwa! Baada ya kupitia kipindi kigumu cha kutumia madawa ya kulevya ‘unga’ kisha kunusuriwa, super lady kwenye Bongo Fleva, Reh...

SUZY RAHA YA MWANAUME ADEKE!
DIAMOND AMTUSI X WA ZARI! ANATAFUTA KIKI KUPITIA YEYE
AUNT EZEKIEL: MH! IYOBO KANIPA MIMBA! SI KWELI, NIKIJIFUNGUA NITAMTAJA BABA MTOTO!
Mungu mkubwa! Baada ya kupitia kipindi kigumu cha kutumia madawa ya kulevya ‘unga’ kisha kunusuriwa, super lady kwenye Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’, hatimaye mambo yameanza kumnyookea baada ya kulamba shavu tenda nono ya kulisha Hospitali ya Mwananyamala, Dar.
 
Super lady kwenye Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’.
Kwa mujibu wa chanzo makini cha Ijumaa Wikienda, Ray C almaarufu Kiuno Bila Mfupa amefungua bonge la ‘restauranti’ maeneo ya Mwananyamala Hospital,  ambapo amepata tenda ya kuwahudumia chakula wafanyakazi wa hospitali hiyo na Idara ya Maji (Dawasa) ambapo anafanya kazi hiyo kwa saa ishirini na nne na muda mwingi anakuwepo yeye mwenyewe.
“Bidada sasa hivi yupo njema sana. Kalamba shavu la kulisha Hospitali ya Mwananyamala na Dawasa na hapo ni mchana na usiku so yupo bize kinoma.
Baada ya kunyetishiwa ishu hiyo, wanahabari wetu waliusaka mgahawa huo na kufanikiwa kuupata ambapo walimkuta Ray C akiwa bize kuhudumia wateja ambapo alisema: “Namshukuru Mungu kwani nimepata tenda ya kuwapikia chakula wafanyakazi wa Mwananyamala na wale wagonjwa ambao ni waathirika wa madawa ya kulevya.”
Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: RAY C ALA TENDA NONO
RAY C ALA TENDA NONO
http://api.ning.com:80/files/tlB4pKQX5mgffnG*Z75OVNdEtzSMwrB8r-ivgWQqmjlfie9oaj5LbwMhXywnVmjaVM*6n2ZRL5-UtiiWHRnL0ER6SLUdZSCG/raycc.jpg?width=650
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/09/ray-c-ala-tenda-nono.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/09/ray-c-ala-tenda-nono.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago