post-feature-image
HomeBurudani

Young Killer arekodi wimbo na Fid Q , aupa jina la tarehe yao ya kuzaliwa ’13’, umefanywa na maproducer 4 akiwemo Majani

Rapper kutoka Rock City, Young killer Msodoki wiki hii amerekodi wimbo mpya ambao amemshirikisha kaka yake rapper Fareed Kubanda aka Fid ...

MultChoice Africa yakutana na wadau wake nchini Mauritius
Je, Wajua kuwa Baada ya twitter ku-verify account ya Diamond Platnumz, Facebook nao wafanya hivyo
Hiki Ndicho Walichoamua Mapacha Baada Ya Lulu Kukana Kushirikishwa Kwenye Wimbo Wao
Rapper kutoka Rock City, Young killer Msodoki wiki hii amerekodi wimbo mpya ambao amemshirikisha kaka yake rapper Fareed Kubanda aka Fid Q, ambaye pia anatoka Mwanza.
Msodoki amezungumza na Bongo 5 kuhusu wimbo huo, “Ni project mpya kabisa kali naweza kusema kwasababu imekutanisha wakali wawili halafu kutoka mji mmoja”, alisema Killer.
Amesema kuwa jina la wimbo huo ’13’, limetokana na tarehe ya kuzaliwa yeye na Fid ambao wanashare tarehe moja ya kuzaliwa lakini mwezi na mwaka tofauti.
“Hii ngoma inaitwa ‘Kumi na Tatu’ (13), kumi na tatu ni tarehe ila hatujaamua kuiita tarehe 13 ila inaitwa 13, kwasababu tarehe 13 ni siku ambayo kazaliwa Fid Q na ndio siku ambayo nimezaliwa mimi kwahiyo wote ni 13, kwahiyo ngoma tumeamua tuiite 13.”
Fid amezaliwa August 13 huku Msodoki April 13.
Ameendelea kusema kuwa ‘Kumi na Tatu’ imefanywa na maproducer wanne akiwemo mkongwe P-Funk Majani.
“Ni ngoma ambayo imefanyika Bongo Records producer akiwa ni Majani, ila beats wakiwa wamepiga watu tofauti tofauti, kuna Lollipop, kuna Amiga Tyga, kuna Palla Midundo. Hawa ni watu watatu ambao kila producer nilikuwa nikimpelekea namwambia afanye kitu kimoja ambacho yeye anaweza akafanya…ndio nikafanya kitu kimoja ambacho ambayo vocal ndio akafanya Majani”.
Msodoki5
Young Killer alishare picha IG wakiwa studio na kuandika:
“#ILIKUWA SIKU YA FURAHA SANA JANA BAADA YA KUKAMILISHA NDOTO YANGU YA KUFANYA KAZI NA (p.funky MAJANI) ha ha ha
RAHA SANA @majani187 (13) kumi na tatu ). Ha ha ha imenipa wakati mzuri xana wa kutabasamu.. Ha ha ha ha”
Mashabiki wa Msodoki wakae mkao wa kula sababu collabo hiyo inatarajiwa kutoka siku si nyingi.
“Kutoka nadhani inaweza ikawa kama wiki moja na nusu mbele itakuwa imetoka kwasababu hapa video ya ‘Umebadilika’ muda si mrefu nitai release, kwahiyo nitaipa gap kidogo kama wiki moja na nusu wiki mbili flani ntai release ngoma”.
Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: Young Killer arekodi wimbo na Fid Q , aupa jina la tarehe yao ya kuzaliwa ’13’, umefanywa na maproducer 4 akiwemo Majani
Young Killer arekodi wimbo na Fid Q , aupa jina la tarehe yao ya kuzaliwa ’13’, umefanywa na maproducer 4 akiwemo Majani
http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2014/09/msodoki-na-fid2.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/09/young-killer-arekodi-wimbo-na-fid-q.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/09/young-killer-arekodi-wimbo-na-fid-q.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago