Mtendaji Mkuu wa MultChoice Afrika,Nico Meyer akitoa hotuba yake wakati wa tafrija ya ufunguzi wa Mult Choice Africa Extravaganza uli...
Mtendaji
Mkuu wa MultChoice Afrika,Nico Meyer akitoa hotuba yake wakati wa
tafrija ya ufunguzi wa Mult Choice Africa Extravaganza uliofanyika leo
kwenye Ufukwe wa Hoteli ya Trou Aux Biches,Morisi ndani ya Kisiwa cha
Mauritius.Hafla hiyo imekusanya wadau mbali mbali wa MultChoice barani
Afrika,ambapo Kampini hiyo itakuwa ikinyesha mambo mbali mbali
wanayojihusisha nayo kwenye vipindi mbali mbali vya Televisheni zao za
DStV na GoTV.Picha zote na Othman Michuzi.

Meneja
wa MultChoice kwa Ukanda wa Afrika Magharibi,Bi. Wangi Mba-Uzoukwu nae
alipata wasaa wa kuzungumza machache wakati wa tafrija hiyo ya ufunguzi
wa Mult Choice Africa Extravaganza uliofanyika leo kwenye Ufukwe wa
Hoteli ya Trou Aux Biches,Morisi ndani ya Kisiwa cha Mauritius.

Watangazaji
wa Kipindi cha JARA kinachorushwa na DStV, Uti Nwachukwu na Juliet
Ibrahim wakiongoza kipindi chao Live ukumbini hapo.

Aki akiingika kwenye kipindi hicho kwa mbwembwe.

Muigizaji
wa Filamu toka Nigeria,Ritha Dominic akijibu maswali ya moja kwa moja
kutoka kwa wadau mbali mbali wa filamu za Kinigeria waliopo ukumbini
hapo.