Baada ya twitter ku-verify account ya Diamond Platnumz, facebook nao wafanya hivyo Kwa sasa account ya Diamond Platmunz kup...
Baada ya twitter ku-verify account ya Diamond Platnumz, facebook nao wafanya hivyo
Kwa sasa account ya Diamond Platmunz kupitia facebook imekuwa verified
nakuwa account yake halali. ukitaka kujua kama kumpata Platnumz kwa
account zake halali basi angalia ile yenye alama ya tiki yenye rangi ya
blue