post-feature-image
HomeBurudani

Rich Mavoko kuachia video mpya ‘Pacha Wangu’ wiki hii

Moja kati ya wasanii wakali wa Bongo Flava, Rich Mavoko amatease video yake mpya anayotarajia kuiachia hivi karibuni ya wimbo wake ‘Pach...

Mwigizaji wa filamu ya Harry Potter ‘Dave Legeno’ afariki akiwa na miaka 50
Ray C avamiwa na kupigwa na Chid Benz asema ‘amechanganyikiwa na madawa’
ULIMWENGU, SAMATA KUWASILI JUMATANO KUWAKABILI MAMBAS
Moja kati ya wasanii wakali wa Bongo Flava, Rich Mavoko amatease video yake mpya anayotarajia kuiachia hivi karibuni ya wimbo wake ‘Pacha Wangu’. Mavoko aliyekuwa kimya kwa muda kidogo amesema mashabiki wake na watu wengine wote wakae mkao wa kula kupokea kitu kipya na cha utofauti kitakachoishangaza Afrika kiujumla kwakuwa safari hii amesema anakuja kwa utofauti kidogo.
“Wadau wakae mkao wa kula. Kuna video mpya itatoka wiki hii siku ya Alhamisi. Ni video fulani ambayo sikupenda sana kuongea mambo mengi kabla watu hawajaiona. Nataka watu waone kwanza halafu nitazungumza mengi kuhusu nimefanya wapi na kwanini nimetoa wakati huu,”
Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: Rich Mavoko kuachia video mpya ‘Pacha Wangu’ wiki hii
Rich Mavoko kuachia video mpya ‘Pacha Wangu’ wiki hii
http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2014/09/IMG_20140923_135504.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/09/rich-mavoko-kuachia-video-mpya-pacha.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/09/rich-mavoko-kuachia-video-mpya-pacha.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago