Mwigizaji raia wa Uingereza aliyecheza series za Harry Potter ‘Dave Legeno’ amekutwa amekufa jijini California, kwa mujibu wa The Hollyw...
Mwigizaji raia wa Uingereza aliyecheza series za Harry Potter
‘Dave Legeno’ amekutwa amekufa jijini California, kwa mujibu wa The
Hollywood Reporter.

Dave Legeno, mwenye umri wa miaka 50, alikutwa akiwa amepoteza maisha siku ya Jumapili na mwili wake kuchukuliwa na helicopter.
“The reporting party was part of an unrelated two-person hiking
group. Due to the remote area, California Highway Patrol helicopter H-82
out of Apple Valley was utilized to insert an Inyo County Sheriff’s
Deputy, and also provided transportation of the body.
“The remains have been identified as David Legeno, a 50-year-old
United Kingdom man. It appears that Legeno died of heat related issues,
but the Inyo County Coroner will determine the final cause of death.
There are no signs of foul play.” The Hollywood reporter said.