Kwa mujibu wa chanzo chetu nchini Nigeria kinadai kwamba sio habari ya kushitusha kwamba,Maheeda anampenda sana Davido,lakini ...

Kwa mujibu wa chanzo chetu nchini Nigeria kinadai kwamba sio habari ya kushitusha kwamba,Maheeda anampenda sana Davido,lakini Davido anaonekana kama kumpotezea vile..!!!Katika mtandao wake wa instagram amemfungukia Davido akiwaomba wanigeria wenzake wamuombee kwa Davido looool...!!!