post-feature-image
HomeBurudani

Lady Jay Dee kung’arisha tamasha la watoto ‘Extreme Kids Festival’ May 31 na June 1, uwanja wa Leaders Club

Tamasha kubwa la watoto ‘Extreme Kids Festival’ litakalofanyika May 31 na June 1 kati...

HIVI NDIVYO DIAMOND ALIVYOGONGA SHOO YA NGUVU, AWEKA HISTORIA NEW JERSEY‏ NCHINI MAREKANI
REDCARPET YA SHOW YA DIAMOND PLATINUMZ IN HOUSTON,TEXAS!!!
HII NDIO SHOW MZIMA YA KILI TOUR ILIYOFUNIKA NDANI YA JIJI LA MWANZAJANA - ANGALIA PICHA.HII NDIO SHOW MZIMA YA KILI TOUR ILIYOFUNIKA NDANI YA JIJI LA MWANZAJANA - ANGALIA PICHA.
Tamasha kubwa la watoto ‘Extreme Kids Festival’ litakalofanyika May 31 na June 1 katika viwanja vya Leaders Club, Dar es Salaam na litapambwa na mwimbaji mkongwe wa kike anaependwa sana, Lady Jay Dee.
Lady Jay Dee atajumuika na watoto watakaohudhuria tamasha hilo, atawaongoza kuimba nyimbo mbalimbali ili kuwahamasisha kuonesha vipaji vyao na atawapa zawadi wale watakaofanya vizuri zaidi.
“Watoto Mambo vipi, Jay Dee nawakaribisha watoto wote pamoja na wazazi na walezi. Mje basi katika Extreme Kids Festival. Ni Jumamosi ya tarehe 31 May, si  hapo tu na Jumapili ya tarehe 1 June. Tunatoa nafasi kwa watoto kuzindua vipaji vyao vya kuimba na washindi watapata zawadi.” Amesema Lady Jay Dee kwenye maelezo yake.
Katika tamasha hilo, mbali na michezo/games mbalimbali inayopendwa zaidi na watoto pia kutakuwa na semina fupi kwa ajili ya wazazi na walezi kwa ajili ya kuboresha malezi ya watoto.
Kutakuwa pia na bidhaa mbalimbali huduma muhimu bora zaidi kwa ajili ya watoto na wanafamilia zitatolewa kwa siku hizo mbili.
Waandaaji wa Extreme Kids Festival wamesisitiza kuwa kutakuwa na usalama wa kutosha kwa ajili ya watoto na wote watakaohudhuria na kwamba hakutakuwa na pombe .
Watoto watalipa shilingi 3,000 tu na wakubwa watalipa shilingi 5, 000 tu kuingia katika tamasha hilo.
Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: Lady Jay Dee kung’arisha tamasha la watoto ‘Extreme Kids Festival’ May 31 na June 1, uwanja wa Leaders Club
Lady Jay Dee kung’arisha tamasha la watoto ‘Extreme Kids Festival’ May 31 na June 1, uwanja wa Leaders Club
http://djchokamusic.com/wp-content/uploads/2014/05/10366034_10152069698225025_514866851001435948_n.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/05/lady-jay-dee-kungarisha-tamasha-la.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/05/lady-jay-dee-kungarisha-tamasha-la.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago