Archive Pages Design$type=blogging

Hatimaye Meneja wa Mirror athibitisha mipango ya kufunga ndoa na dada wa Diamond, Esma - Habari Kamili Hii hapa

Meneja wa msanii, Mirror na mfanyakazi wa kampuni ya Wema Sepetu, Endless Fame Films, Petit Man ambaye awali alidaiwa kuwa na uhusiano n...

Meneja wa msanii, Mirror na mfanyakazi wa kampuni ya Wema Sepetu, Endless Fame Films, Petit Man ambaye awali alidaiwa kuwa na uhusiano na Kajala, kisha kuwa na mdogo wake Vanessa Mdee, amethibitisha kuwa na uhusiano wa kimapenzi na dada yake Diamond Platnumz, Esma na kwamba ana mipango ya kufunga naye ndoa.
PETIMANI
“Ni kweli Esma ni mchumba wangu na Mungu akijalia soon tunafunga ndoa,” alisema Petit kwenye kipindi cha My Playlist cha Clouds TV. Alipoulizwa jinsi Diamond anavyouchukulia uhusiano wao, alisema:
Unajua siwezi kumsea moyo wake lakini naona kawaida na hamna tatizo lolote.”
PETIMANI13

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: Hatimaye Meneja wa Mirror athibitisha mipango ya kufunga ndoa na dada wa Diamond, Esma - Habari Kamili Hii hapa
Hatimaye Meneja wa Mirror athibitisha mipango ya kufunga ndoa na dada wa Diamond, Esma - Habari Kamili Hii hapa
http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2014/09/PETIMANI.png
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/09/hatimaye-meneja-wa-mirror-athibitisha.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/09/hatimaye-meneja-wa-mirror-athibitisha.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago