Ommy Dimpoz anaachia audio ya wimbo wake Ndagushima. Video ya wimbo huu ilitambulishwa kwa mara ya kwanza kupitia MTV Base na sasa ...
Ommy Dimpoz anaachia audio ya wimbo wake Ndagushima. Video ya wimbo huu
ilitambulishwa kwa mara ya kwanza kupitia MTV Base na sasa inachezwa
katika vituo vingi barani Africa. Wimbo umetayarishwa na Tudd Thomas.