Picha za Rihanna na wachezaji wa Ujerumani baada ya mechi ya fainali ya kombe la dunia kuisha pale MaracanĂ£ Stadium mjini Rio de...
Picha
za Rihanna na wachezaji wa Ujerumani baada ya mechi ya fainali ya kombe
la dunia kuisha pale MaracanĂ£ Stadium mjini Rio de Janeiro, Brazil.
Rihanna alionekana akijiachia na Mario Götze,Lukas Podolski ,Bastian
Schweinsteiger .