Mkali wa sheira?: Emmanuel Okwi (kulia) akiwaonesha ufundi wachezaji wa Gor Mahia siku ya jumamosi uwanja wa Taifa, Simba ...
Mkali
wa sheira?: Emmanuel Okwi (kulia) akiwaonesha ufundi wachezaji wa Gor
Mahia siku ya jumamosi uwanja wa Taifa, Simba ikishinda 3-0
Na Baraka Mpenja, Dar es salaam
0712461976
KAMA ubongo wako una uwezo mzuri wa kutunza
kumbukumbu, Ijumaa ya Agosti 29 mwaka huu klabu ya Young Africans ilitangaza kumshitaki
mchezaji Emmanuel Okwi kwa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na kuwasilisha
nakala kwa shirikisho la soka Barani Afrika (CAF) na shirikisho la soka duniani
(FIFA) kwa kuingia mkataba na timu nyingine wakati akiwa bado ana mkataba wa
miaka miwili.
Mwenyekiti wa Yanga,
Yusuf Manji aliwaambia waandishi wa habari siku hiyo kuwa uongozi wa klabu huyo
ulishangazwa na kitendo cha viongozi Simba , wakala na mchezaji mwenyewe kuingia mkataba wa miezi
sita kwa madai kuwa anataka kulinda kiwango chake wakati akiwa na kesi na
Yanga.
Manji alisema awali Yanga walipeleka malalamiko
TFF na kuwapa nakala CAF na FIFA kuwa Emmanuel Okwi awali alifanya mazungumzo
na timu ya Wadi Degla FC ya nchini Misri na kufikia klabu hiyo kutuma ofa ya
kutaka kumnunua bila kuwasiliana na uongozi wetu.
Wakati Yanga
wakisubiri majibu kutoka TFF wakashangaa kuona Bofya Hapa Kusoma Zaidi