BAO pekee la Musa Hassan Mgosi limeipa Mtibwa Sugar ushindi wa 1-0 dhidi ya Ndanda fc katika mchezo wa kirafiki uliopigwa j...

BAO pekee la Musa Hassan Mgosi limeipa Mtibwa
Sugar ushindi wa 1-0 dhidi ya Ndanda fc katika mchezo wa kirafiki uliopigwa jioni
ya leo uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro.
Msemaji wa Mtibwa Sugar, Tobias Kifaru
Ligalambwike amesema Mgosi alifunga bao hilo kipindi cha pili kwa shuti kali.
Licha ya kufungwa, Kifaru alisema Ndanda walijitahidi
kucheza soka safi, lakini Bofya hapa kusoma zaidi