Archive Pages Design$type=blogging

BABY MADAHA ANASWA NA MCHEPUKO

Baada ya hivi karibuni kunaswa chobingo akiwa na mwanamuziki Haroun Kahena ‘Inspector Haroun’, mwanadada asiyekaukiwa na vituko Ba...


Baada ya hivi karibuni kunaswa chobingo akiwa na mwanamuziki Haroun Kahena ‘Inspector Haroun’, mwanadada asiyekaukiwa na vituko Baby Joseph Madaha juzikati alibambwa tena akichezewa kimahaba na njemba ndani ya gari kiasi cha kuwafanya wadau kuhoji, yeye ni cha wote?. 
Baby Joseph Madaha akichepuka na njemba.
Tukio hilo lilijiri hivi karibuni katika Pub moja iliyopo Kijitonyama jijini Dar ambapo mastaa kibao hukutana na kuponda raha. Awali, Baby Madaha alionekana akiwa anapiga ulabu huku akichezea simu yake lakini baada ya muda alinyanyuka na kuelekea kwenye gari iliyokuwa imepaki gizani, ndani kukiwa na mwanaume.
Baada ya paparazi wetu kuusoma mchezo, alilifuata gari hilo na kuwakuta wawili hao wakifanya yao na ndipo zoezi la kuwafotoa lilipoanza. 
Baby Madaha akikurupuka kuzikimbia kamera.
Wakati paparazi akitekeleza jukumu lake, Baby Madaha alianza kubwatuka na kutaka asipigwe picha huku akikimbia kuelekea nyuma ya pub waliyokuwa wakinywa.
Hata hivyo, baada ya Madaha kukimbia paparazi wetu alimfuatilia mwanaume aliyekuwa na mrembo huyo na kugundua kuwa alikuwa ni msanii wa Bongo Fleva anayefahamika kwa jina la Pasha.

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: BABY MADAHA ANASWA NA MCHEPUKO
BABY MADAHA ANASWA NA MCHEPUKO
http://api.ning.com:80/files/UxG8FbEp4zYVaNRs0wjTO2JyyGH9VOTxEt70ZA2jYEaeUbFqCuAmrgOaD6NGWFMU3U2Y7*N-GJEovfjj8xA7sXVQFgjLeN*N/baeib1.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/12/baby-madaha-anaswa-na-mchepuko.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/12/baby-madaha-anaswa-na-mchepuko.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago