Mwanamuziki wa Nigeria aka Naija Cynthia Akudo Jonah...
Mwanamuziki wa Nigeria aka Naija Cynthia Akudo Jonah maarufu kwa jina la Cynthomania or Ada Owerri amefariki dunia.
Cynthomania hivi karibuni ameachia ngoma yake mpya ‘Ukwu
Ajebutter’ na akiwa anajiandaa kutoa albamu yake ya kwanza umauti
ukamfika. Rest In Peace Ada na kwa habari zaidi utazipata hapa hapa na
Ben Kinyaiya.