post-feature-image
HomeBurudani

JOKATE AANIKA SIFA ZA MUME MTARAJIWA

MTOTO mzuri kunako anga la watangazaji Bongo, Jokate Mwegelo ameibuka na kuanika sifa za mwanaume ambaye anafaa kuwa mume wake. Mto...

Hizi Ndio Tabia za Wasichana wa Tanzania Kulingana na Makabila Yao
Pozi za Picha za Director Mkubwa wa Video Bongo Zaleta Utata Huko Instagram..
Hii Ndio Sababu ya Clouds FM kushindwa Kumtumia Diamond Kwenye Show zao za Fiesta
MTOTO mzuri kunako anga la watangazaji Bongo, Jokate Mwegelo ameibuka na kuanika sifa za mwanaume ambaye anafaa kuwa mume wake.

Mtoto mzuri kunako anga la watangazaji Bongo, Jokate Mwegelo.
Akipia stori na paparazi wetu juzi jijini Dar, Jokate alisema anapenda mwanaume ambaye atajua kutafuta fedha kwa nguvu zote, awe anajua kubembeleza na awe na nidhamu kwa wazazi wake.
“Sifa ya mume ninayemtaka, anapaswa kuwa mtafutaji wa fedha, sipendi mwanaume asiyependa kutafuta, awe anajituma kwa kazi zake na kwa mpenzi au familia yake na pia ajue kunibembeleza,’’ alisema Jokate.
Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: JOKATE AANIKA SIFA ZA MUME MTARAJIWA
JOKATE AANIKA SIFA ZA MUME MTARAJIWA
http://api.ning.com:80/files/*tHd*uipNJAw64nRQgkX2JKist3d5zqvO6N0-APWCaTzMOt1hjKfKstSpZrGMkPmEX5Vjxj-T4gsSlWqusev*dETYkx4KzYX/MWEGERO.jpg?width=650
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/05/jokate-aanika-sifa-za-mume-mtarajiwa.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/05/jokate-aanika-sifa-za-mume-mtarajiwa.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago