Katika hali ya kushangaza, mastaa wa kike wa muziki, Esterlina Sanga ‘Linah’ na mwenzake Sarah Kaisi ‘Shaa’ waliibua gumzo kufuatia kuch...
 Katika hali ya kushangaza, mastaa wa kike wa muziki, Esterlina Sanga 
‘Linah’ na mwenzake Sarah Kaisi ‘Shaa’ waliibua gumzo kufuatia kuchuana 
kwa kupozi kihasara mbele ya kamera.
Staa wa muziki wa kizazi kipya Esterlina Sanga ‘Linah’.
Ilikuwa ndani ya Viwanja vya Leaders, Kinondoni jijini Dar kulikokuwa
 na Tamasha la Fiesta ambapo paparazi wetu alipokuwa ‘back stage’ na 
kutaka kuwapiga picha, kila mmoja alijiachia na kuonesha mapaja yake 
kana kwamba walikuwa wakishindana kuonesha nani anayo mazuri.
Staa wa muziki wa kizazi kipya Sarah Kaisi ‘Shaa’.
Hata hivyo, hakuna aliyekuwa tayari kuzungumzia namna alivyovaa ila 
mara nyingi Linah amekuwa akisema, yeye kama msanii haoni hatari kuvaa 
hivyo.