post-feature-image
HomeBurudani

Wanaume Tuache Ubahili Tuwatunze Wapenzi Wetu

Kwanza nianze kwa kukili kua maisha ni magumu sana nadhani kila mtu anajua. Na katika mahusiano ya mapenzi kati ya me na ke lazima kun...

Huu Ndio Ushauri Wa Sintah Kwenda Kwa Mke wa Sugu Faiza Baada ya Kupost Instagram Kuwa Ndoa Yao Imevunjika
Amini Usiamini, Huyu Ndiye Msanii Wa Kike Ambaye Amejitangaza Kuwa Yeye Ni Bikra Na Hamjui Mwanaume Tangu Azaliwe, Tazama Hapa
MKONGO WA WOLPER, HUSNA: NAMTAKA LULU KWA GHARAMA YOYOTE!
Kwanza nianze kwa kukili kua maisha ni magumu sana nadhani kila mtu anajua.
Na katika mahusiano ya mapenzi kati ya me na ke lazima kunakua na tofauti ya kipato, yaani Mara nyingi wanaume wanakua na hali mzur kimapato kuliko mwanamke.
Nieleweke vizur kua si maanishi kua wanawake wote wanakipato duni LA hasha.
Ningependa kuwashauri wale wenye wapenzi WA kike mambo haya yafuatayo:-
1 Ujue tofauti ya kuchunwa na kuhudumia unapokua na mpenzi ujue ni jukumu lako kumpendezesha anapopendeza watu watajua we ndio kidume uliemwezesha.
2 .Sio mpaka akuombe ndio umpe. jaribu kumfaam hali ya maisha na kipato chake ujue kukisia cha kumpa kwa matumizi yake.
3.Usiulize ya nini,ikitokea mpz amekuomba HELA usiulize ya nn ye ni MTU mzima awezi kukuomba HELA akaenda kuchambia.
4. Kutumia pesa nyingi sehemu ya starehe. Kuna watu wanaenda mpaka hotel ya nyota 5 kustarehe akitumia zaidi ya laki tano.cha ajabu baada ya kutoka hotel anamwacha mpz wake 10000 ya nauli. Huu ni ujinga bora ungeenda ata lodge ya nafuu ye ukamwacha na HELA ya kutosha.
5.Tenga ata 10% ya mshahara MPE yeye aangalie kama kuna kitu cha kurekebisha arekebishe.
NB. APA ni kwa wale Wanaume wanaowazidi kipato wanawake wao sio wanawake wenye vipato vizur.
Tusiwe wataalamu wakutafuta Gspot wakati ukiombwa ata 1000 unanuna mapenzi ni pamoja na kupunguzia makali ya maisha.
Yeyote mwenye chochote anaweza kuongezea apo.
Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: Wanaume Tuache Ubahili Tuwatunze Wapenzi Wetu
Wanaume Tuache Ubahili Tuwatunze Wapenzi Wetu
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjJtrKqk55lYdV28MaRrlK8MpZFY2fHJ5CQUsXo0q8dmilBN5qQXDgXkT2VdnAJD7g_AjepusyXnH8UU1WahAKiCS2vz8IfUoTBPEdD06VTf2pzdDi3wk4fAEY6GtSMDvA08OGsVW6x5Rcj/s1600/serious.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjJtrKqk55lYdV28MaRrlK8MpZFY2fHJ5CQUsXo0q8dmilBN5qQXDgXkT2VdnAJD7g_AjepusyXnH8UU1WahAKiCS2vz8IfUoTBPEdD06VTf2pzdDi3wk4fAEY6GtSMDvA08OGsVW6x5Rcj/s72-c/serious.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/10/wanaume-tuache-ubahili-tuwatunze.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/10/wanaume-tuache-ubahili-tuwatunze.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago