post-feature-image
HomeBurudani

Huu Ndio Ushauri Wa Sintah Kwenda Kwa Mke wa Sugu Faiza Baada ya Kupost Instagram Kuwa Ndoa Yao Imevunjika

"Wakati pepo linaendelea kusimamia kucha na kutawanya ndoa/mahusiano ya mastar abroad na Bongo city, mie naendelea kuswali sana k...

BOZI AELEZA SABABU ZA KUTODUMU PENZINI
MUME, MCHEPUKO WAGOMBEA MTOTO, mKE ADAI KUTEMBEA NA WOTE WAWILI SIKU MOJA
KAJALA: UBONGE UNANIPA STRESS
"Wakati pepo linaendelea kusimamia kucha na kutawanya ndoa/mahusiano ya mastar abroad na Bongo city, mie naendelea kuswali sana kumuomba Mungu anusuru mahusiano na ndoa ambazo tayari zina watoto ndani yake, wakati Faiza analia sana na akiamini kwamba kwenye Instagram atapata afueni naomba nimwambie BIG NO.....
  Faiza dear ,naomba nigeuke kuwa mshauri wako leo 
Social Media haikusaidii chochote ndugu ukitangaza unamatatizo kuna watu wanafurahia matatizo yako na wengi wakichekelea bora, wengi katika page yako wata comment pole lakini wanakun'gon'ga,,,,bora ungekuja huku kama anonymous tukakushauri bila mtu kujua ni wewe ama? hizo sifa za Instagram ziache na si kwa sugu tu, bali hata your next, i know how u feel but Instagram audience wont help u dear ....
muombe Mungu kwa sasa na acha ku post ujinga on IG katika hii dunia hakuna asiye na matatizo katika ndoa/mahusiano yake, hata hao unawaona wanacheka nje ila ukiingia ndani ni kiama, plz try to be secretive  watu wana matatizo yako madogo but huwasikii waki yaraya  IG, nakuonea huruma sana tena sana ila ukweli naomba nikwambie .
not only you hata wasichana wengine pia but nakuchukulia wewe kama case study kwakuwa umejitangaza hii ni dunia utakuja tu kugombana na mtu watatumia udhaifu wako kuku  destroy , usione sie tunaambiwa tunaficha watoto ktk box we try to put our family issues outside the box kwa kuhofia hayo mtu akiku destroy should be u not ure family member
ukichukua ushauri wangu well n good, usipochukua uache but ipo siku utanikumbuka na kusema kuna mtu aliniambia, hii blog huwa tunatoa ushauri na kuwapa watu ukweli ila kama unavyojua watu hawapendi ukweli... ila hatutochoka kusema ukweli" Sintah
Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: Huu Ndio Ushauri Wa Sintah Kwenda Kwa Mke wa Sugu Faiza Baada ya Kupost Instagram Kuwa Ndoa Yao Imevunjika
Huu Ndio Ushauri Wa Sintah Kwenda Kwa Mke wa Sugu Faiza Baada ya Kupost Instagram Kuwa Ndoa Yao Imevunjika
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEirY8M1Bv_BsstU4txh-UecyZmLV2vgRt5tpmq4h-58_mLMpSswWVJ0sbCY8FXayhe1o56ho3YtvEJQbvzuDJDrrJ0Y6L1QTxGrNalgoeGzvpB-qOztoG9leLG2EJY2LLK70pP4PBO1-sRe/s1600/IMG-20140930-WA0001.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEirY8M1Bv_BsstU4txh-UecyZmLV2vgRt5tpmq4h-58_mLMpSswWVJ0sbCY8FXayhe1o56ho3YtvEJQbvzuDJDrrJ0Y6L1QTxGrNalgoeGzvpB-qOztoG9leLG2EJY2LLK70pP4PBO1-sRe/s72-c/IMG-20140930-WA0001.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/10/huu-ndio-ushauri-wa-sintah-kwenda-kwa.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/10/huu-ndio-ushauri-wa-sintah-kwenda-kwa.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago