post-feature-image
HomeBurudani

KAJALA: UBONGE UNANIPA STRESS

STAA wa filamu mwenye mvuto wa aina yake Bongo, Kajala Masanja amesema kuwa hakuna kitu kinachompa ‘stress’ kama unene hivyo ameamua ku...

Mmh! Vanessa Mdee( @VanessaMdee ) Ni Shida Tupu, Hii Ndio Nguo aliyoivaa - Picha
MSHINDI WA BBA, IDRIS SULTAN AMTAMBULISHA MPENZI WAKE!
WASTARA KUMUANIKA MPENZI WAKE

STAA wa filamu mwenye mvuto wa aina yake Bongo, Kajala Masanja amesema kuwa hakuna kitu kinachompa ‘stress’ kama unene hivyo ameamua kuanza mazoezi.

Staa wa filamu mwenye mvuto wa aina yake Bongo, Kajala Masanja.
Akizungumza na mwandishi wetu, Kajala alisema hakuna kitu ambacho kinampa ‘stress’ kama unene hivyo kuanzia sasa ameamua kuacha usingizi wake kila asubuhi ili kufanya mazoezi ya kupunguza mwili.
“Unene ni stress jamani, sihitaji kabisa ni bora niache usingizi nifanye mazoezi na sasa hivi nimeshazoea na matunda ya kufanya mazoezi nayaona ni mazuri, sitaki kabisa unene,” alisema Kajala.
Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: KAJALA: UBONGE UNANIPA STRESS
KAJALA: UBONGE UNANIPA STRESS
http://www.filamucentral.co.tz/wp-content/uploads/2014/12/Kajala-Masanja-533.jpg?width=650
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2015/01/kajala-ubonge-unanipa-stress.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2015/01/kajala-ubonge-unanipa-stress.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago