post-feature-image
HomeBurudani

KIGWEMA, BEST NASSO: TUTAKUKUMBUKA SIDE BOY

Wasanii Best Nasso kushoto, Hamisi Kibiti ambaye ni Meneja wa Best Nasso na kulia n...

Miss East Africa 2012 Joselyn Maro hajapewa kadi ya gari yake hadi leo, apeleka malalamiko BASATA
(official website) Profesa Jay afungua website yake rasmi
Diamond kurekodi na Yemi Alade kwenye Coke Studio Africa - Picha
Wasanii Best Nasso kushoto, Hamisi Kibiti ambaye ni Meneja wa Best Nasso na kulia ni msanii Kigwema kwenye picha ya pamoja wakiwa safarini kuelekea Lindi kwenye mazishi ya msanii mwenzao.
Mdogo wa msanii Side akiwa kwenye picha ya pamoja na Best Nasso, Kigwema na waombolezaji wengine mara baada ya kufika mkoani Lindi.
Wasanii wa muziki wa Bongo Fleva, Best Nasso na Kigwema wamefunguka kuwa daima watamkumbuka msanii mwenzao, Side Boy aliyefariki mapema jana kwa upungufu wa damu katika Hospitali ya mkoa wa Lindi.
Wakizungumza na mwandishi wetu kwa njia ya simu wakiwa njiani kuelekea msibani mkoani Lindi, wasanii hao walisema kuwa watamkumbuka marehemu siku zote kwa kuwa walikuwa marafiki wakubwa ndani na nje ya muziki na kuongeza kuwa ni msanii pekee aliyekuwa akiimba nyimbo zenye meseji zenye kugusa maisha ya watu kwa kujali zaidi ujumbe na siyo soko kama wanamuziki wengine.
“Hakuna neno tutakaloweza kusema kuelezea hisia zetu. daima tutamkumbuka Side Boy kama msanii mwenzetu, rafiki na kaka yetu. RIP”
Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: KIGWEMA, BEST NASSO: TUTAKUKUMBUKA SIDE BOY
KIGWEMA, BEST NASSO: TUTAKUKUMBUKA SIDE BOY
http://api.ning.com:80/files/aDnEqQYbuL8bemeKBLz5dp0ZVTVUOtbi255xLVCfCcnl*USbDBlDA-uj6QvYy5hoZTXgG2Qp0fETN8jnR8NNT96g8YM8ODeA/1.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/10/kigwema-best-nasso-tutakukumbuka-side.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/10/kigwema-best-nasso-tutakukumbuka-side.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago