Archive Pages Design$type=blogging

(official website) Profesa Jay afungua website yake rasmi

Profesa Jay ameingia kwenye list ya wasanii wa Tanzania ambao wameona haja na umuhimu wa kufungua website zao, kwa kuanzisha website...



profesa-JayProfesa Jay ameingia kwenye list ya wasanii wa Tanzania ambao wameona haja na umuhimu wa kufungua website zao, kwa kuanzisha website yake www.profesajay.com ambayo itakuwa inaweka matukio mbalimbali yanayohusu kazi zake, na kurahisisha upatikanaji wa habari zake, nyimbo pamoja na video zake.

“Nimeamua kuwa na website yangu kuzidi kujitengeneza, kujipackage na mtu aweze kukufikia kirahisi… Nimeona value yangu na nimeona wapi nilikosea, kwa muda mrefu watu wemekuwa wakiulizia website, kazi zangu watazipata wapi, wapi muziki wangu, wapi shows zangu…So kila kitu ntakachokuwa nafanya kitakuwa kinapatikana kwenye website yangu.”
Alisema Profesa Jay kupitia Bongo Dot Home ya Times Fm.
Wasanii wengi ambao walitangulia fungua website zao ni pamoja na AY, C-Pwaa, Mwana FA, Diamond Platnumz, Dully Sykes na wengine.

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: (official website) Profesa Jay afungua website yake rasmi
(official website) Profesa Jay afungua website yake rasmi
http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2014/09/profesa-Jay.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/09/official-website-profesa-jay-afungua_8.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/09/official-website-profesa-jay-afungua_8.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago