post-feature-image
HomeBurudani

HIVI NDIVYO NDEVU ZA MPOKI ZILIVYOMSHANGAZA MREMBO WA MISS TANZANIA - ANGALIA PICHA HAPA.

Unamkumbuka mwanadada, Nargis Mohammed, yule aliyekuwa gumzo kwa urembo wakati akiwa mmoja wa washiriki wa Miss Tanzania? Kumbe siku hiz...

SHILOLE AKUTWA NA DOGODOGO NYINGINE...NUH MZIWANDA HANA CHAKE TENA
Vodacom yazindua huduma mpya ya ‘Simu Dokta’
Cindy (Blue 3) amshutumu producer maarufu wa Uganda kwa wizi wa pochi yake!
Unamkumbuka mwanadada, Nargis Mohammed, yule aliyekuwa gumzo kwa urembo wakati akiwa mmoja wa washiriki wa Miss Tanzania?
Kumbe siku hizi anapiga job kwenye CRDB Microfinance ambayo ni kampuni mtoto wa benki ya CRDB.

Leo, alikuwa karibu na mwigizaji Mpoki wa kundi la Orijino Comedy, basi kila saa anamcheki Mpoki, sijui alikuwa akizubalia ndevu zake, kipara au pozi la mwigizaji huyo.
Kampuni anayoitumikia Nargis, ndiyo ilisimamia zoezi zima la waigizaji hao kupata bima ya afya na ya maisha kutoka katika kampuni za AAR na African Life.




Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: HIVI NDIVYO NDEVU ZA MPOKI ZILIVYOMSHANGAZA MREMBO WA MISS TANZANIA - ANGALIA PICHA HAPA.
HIVI NDIVYO NDEVU ZA MPOKI ZILIVYOMSHANGAZA MREMBO WA MISS TANZANIA - ANGALIA PICHA HAPA.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhpksodhr_OsM3k7FXhmgG-nySSXqNKBXf6hFD8COLorrVHMwMEbRfE9OsUd448IsvbqZlQUSlmUdtc8FssdzgGzA1U0kNHciMi8Nx2bfKHXUn7hirQBUsl_CoacKq2CWjnNPpIMi7XoN3e/s1600/1-DSC_0845.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhpksodhr_OsM3k7FXhmgG-nySSXqNKBXf6hFD8COLorrVHMwMEbRfE9OsUd448IsvbqZlQUSlmUdtc8FssdzgGzA1U0kNHciMi8Nx2bfKHXUn7hirQBUsl_CoacKq2CWjnNPpIMi7XoN3e/s72-c/1-DSC_0845.JPG
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/09/hivi-ndivyo-ndevu-za-mpoki.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/09/hivi-ndivyo-ndevu-za-mpoki.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago