Muimbaji wa zamani wa kundi la Blue 3, Cindy Sanyu, amemshutumu producer wa Soul Touch Studio ya Uganda, Kayz kuwa ndiye aliyemuibia poc...
Muimbaji wa zamani wa kundi la Blue 3, Cindy Sanyu, amemshutumu
producer wa Soul Touch Studio ya Uganda, Kayz kuwa ndiye aliyemuibia
pochi yake.
Cindy ambaye alikuwa pamoja na producer kwenye club ya Ambiance ya
Kampala aligundua kuwa pochi yake imepotea na kumhisi Kayz ndiye
aliyeiiiba. Wawili hao walirushiana maneno kabla ya Cindy kuamua
kuondoka kwa hasira.
Cindy aliamua kutumia Facebook kuelekezea kisa hicho.
Cindy aliamua kutumia Facebook kuelekezea kisa hicho.
“U kno what? I also think its Keiz the producer but anyways I’m
performing at club one mukono… I’m gonna forget abt that and focus on
this. There’s always more money to make….,” aliandika.
Producer huyo alijibu na kukanusha:
Producer huyo alijibu na kukanusha:
“This low grade woman has the audacity to involve me in her
stupid messages. this mst be a joke and a clown of a person . No wonder
she’s becoming a man eater and stealer. I make a million a week or more
to care abt clown p***y wallet I guess it contained condoms whoever
stole it I Dnt give a shiiiiiiit iam too busy for this shiiiit anyway
bye bye to my friends who are gonna put this bitch right pusssss wallll
f*k ure mothaaa”