post-feature-image
HomeBurudani

HIVI NDIVYO LULU ALIVYOMFAGILIA MAMA YAKE MTANDAONI!

STAA wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael 'Lulu' amemfagilia mama yake mzazi Lucres i a Karugila kwa kupitia akaunti yake ...

Pele, Beckham, Rihanna na Mastaa kibao wahudhulia Fainali za World Cup 2014 || BRAZIL
SINA GUNDU NA WANAUME - AUNTY
UKINITONGOZA MIMI SINA HIYANA DAIMA...RIYAMA WA BONGO MOVIE AFUNGUKA..!
STAA wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael 'Lulu' amemfagilia mama yake mzazi Lucresia Karugila kwa kupitia akaunti yake ya Instagram.
 
Lulu akiwa katika pozi na mama yake.

Staa huyo ameachia picha yake wakati akiwa mdogo pamoja na mama yake kisha kuandika ujumbe wa kumfagilia mama huyo ambao ulisomeka hivi: 

Ni miaka 19 sasa tangu tulipoanza rasmi mahusiano haya, ni mahusiano ambayo yamekuwa na changamoto nyingi zaidi kwako kuliko kwangu. Ni mahusiano yanayomiliki mapenzi ya kweli na mapenzi yasiyo na usaliti. 

Haijalishi ni mara ngapi niliwahi kukukwaza na kukuumiza lakini hujawahi kuniacha katika hali yoyote na kusema utafute mwingine wa kuwa naye. 

Haijalishi ni wangapi wazuri umewahi kuwaona duniani lakini siku zote mimi ni mzuri zaidi katika macho yako. 
Haijalishi ni mabaya mangapi unayajua kuhusu mimi lakini unanitunzia siri zote zilizo mbaya na nzuri....wewe ni mtu pekee ninayeweza kusimama duniani na kujivunia kuwa ni wangu peke yangu, unayenipenda kiukweli, huwezi kunisaliti wala kumuona yeyote mwingine bora zaidi yangu hata kama ikiwa kweli..! Nakuombea afya, furaha, nguvu na siku nyingi za kuishi duniani...! NAKUPENDA MAMA! 



 

Picha aliyoweka Lulu Instagram akiwa na mama yake enzi hizo
Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: HIVI NDIVYO LULU ALIVYOMFAGILIA MAMA YAKE MTANDAONI!
HIVI NDIVYO LULU ALIVYOMFAGILIA MAMA YAKE MTANDAONI!
http://2.bp.blogspot.com/-ZK9I4P5r0zk/VBILMqikSAI/AAAAAAAAmV8/790MeSrPPuY/s1600/1menooo.jpg
http://2.bp.blogspot.com/-ZK9I4P5r0zk/VBILMqikSAI/AAAAAAAAmV8/790MeSrPPuY/s72-c/1menooo.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/09/hivi-ndivyo-lulu-alivyomfagilia-mama.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/09/hivi-ndivyo-lulu-alivyomfagilia-mama.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago