Archive Pages Design$type=blogging

SINA GUNDU NA WANAUME - AUNTY

GUNDU? Baada ya kudaiwa kuwa na gundu kufuatia kila mwanaume anayeishi naye kuandamwa na majanga, staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel...



GUNDU? Baada ya kudaiwa kuwa na gundu kufuatia kila mwanaume anayeishi naye kuandamwa na majanga, staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel Grayson ameibuka na kukanusha madai hayo akisema hayana ukweli.
 
Baada ya maneno hayo  wanahabari wetu walimsaka Aunt ili kumsikia anazungumziaje taarifa hizo ambapo alitiririka:
“Sina gundu na wanaume jamani, uzuri ni kwamba kila niliyeishi naye kulikuwa na sababu za msingi za kuachana. Siyo Jack Pemba wala Hartmann (Mbilinyi).
“Watu wanazungumza tu bila kujua ukweli, hata kwa Sunday Demonte (mumewe wa sasa), yupo vizuri na hajafungwa kama wanavyosema,” alisema Aunt.
Miongoni mwa wanaume walioogelea katika penzi la Aunt kisha kumwagana kwa sababu tofuati ni pamoja na Mwilu Mwilola ‘Silvanus’, Hartman na Jack Pemba.VIA GPL

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: SINA GUNDU NA WANAUME - AUNTY
SINA GUNDU NA WANAUME - AUNTY
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEizeQTbID9TJ1lenerXGFQ-B58AoBi2ng8h9F5LMhMqc5Mw6Z1uO2tQ220zXgtIJilazvhm0lvKzmXRcxA9u1fNNbje2xIl-J4V_Xl0kkEr8O7Zvl0v4O95uhA5Yx83Xjnsx0aUcI_olNA/s1600/auntezekiel.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEizeQTbID9TJ1lenerXGFQ-B58AoBi2ng8h9F5LMhMqc5Mw6Z1uO2tQ220zXgtIJilazvhm0lvKzmXRcxA9u1fNNbje2xIl-J4V_Xl0kkEr8O7Zvl0v4O95uhA5Yx83Xjnsx0aUcI_olNA/s72-c/auntezekiel.JPG
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/07/sina-gundu-na-wanaume-aunty.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/07/sina-gundu-na-wanaume-aunty.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago