Archive Pages Design$type=blogging

UKINITONGOZA MIMI SINA HIYANA DAIMA...RIYAMA WA BONGO MOVIE AFUNGUKA..!

Staa wa filamu Bongo, Riyama Ally STAA wa filamu Bongo, Riyama Ally amesema katika ...

Staa wa filamu Bongo, Riyama Ally
STAA wa filamu Bongo, Riyama Ally amesema katika maisha yake hajawahi kumtukana mwanaume pindi anaponitokea hata kama hamuhitaji, anamjibu kwa busara. Akipiga stori na paparazi wetu, Riyama alisema yeye yupo tofauti na wasichana wengine ambao wamekuwa na tabia ya kuwatukana wanaume pindi wanapowasilisha hisia zao za kimapenzi kwa sababu tu hawavutiwi kuwa nao. 
“Hata kama mtu akinitongoza na nikawa simuhitaji kamwe siwezi kumtukana wala kumuonyesha dharau , kimaadili sisi sote ni binadamu na kila mtu ana hisia zake na maamuzi yake, namjibu tu kistaarabu kwamba mimi nina mtu wangu, kumjibu mwanaume vibaya Mungu hapendi,” alisema Riyama

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: UKINITONGOZA MIMI SINA HIYANA DAIMA...RIYAMA WA BONGO MOVIE AFUNGUKA..!
UKINITONGOZA MIMI SINA HIYANA DAIMA...RIYAMA WA BONGO MOVIE AFUNGUKA..!
http://4.bp.blogspot.com/-qUhXcLSsyy0/U8DDaAOlW5I/AAAAAAAAcKQ/A3FDecXpslI/s1600/riyama.jpg
http://4.bp.blogspot.com/-qUhXcLSsyy0/U8DDaAOlW5I/AAAAAAAAcKQ/A3FDecXpslI/s72-c/riyama.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/07/ukinitongoza-mimi-sina-hiyana.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/07/ukinitongoza-mimi-sina-hiyana.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago