Archive Pages Design$type=blogging

MOSES IYOBO:- SIMUACHI NG’O AUNT EZEKIEL

Mcheza shoo wa Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond,’ Moses Iyobo amefunguka kwa mara ya kwanza baada ya kuenea uvumi wa kutoka kim...

Mcheza shoo wa Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond,’ Moses Iyobo amefunguka kwa mara ya kwanza baada ya kuenea uvumi wa kutoka kimapenzi na mcheza filamu mahiri Bongo, Aunt Ezekiel kuwa hawezi kumuacha msanii huyo ng’o.
 
Mcheza shoo wa Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond,’ Moses Iyobo (katikati).
Akizungumza  Moses alisema kuwa kutokana na maneno mengi kuenea kuwa anatoka na Aunt, ameona ni bora aweke wazi hisia zake kwamba ni kweli anampenda msanii huyo na kuwa naye mbali itakuwa vigumu.
 
Mcheza filamu mahiri Bongo, Aunt Ezekiel
“Mengi yameongelewa sana sasa naweka wazi kuwa nampenda sana Aunt. Unajua kama mtu haukuwa na uhusiano naye mara unaanza kusikia vitu vya ajabu bora tu ufanye kweli hata kama wanakusema wakuseme kihalali na si vitu ambavyo si vya kweli,” alisema dansa huyo ambaye ni mume wa mwanamke aliyefahamika kwa jina moja la Mwegi.

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: MOSES IYOBO:- SIMUACHI NG’O AUNT EZEKIEL
MOSES IYOBO:- SIMUACHI NG’O AUNT EZEKIEL
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgmDF3zxIzbMgXfTqJjAhfn0qczx1LpR_WrUxncxiFFavFTFC3Rv1I_e4VJaLQGLcSojBNdZHHjNctAOFEpGVIUk0cgitrBfvyKc8U5rPSVtNFz02K_DM4Qxv_pcGGJandAsxryzpqgqTY/s1600/antieze1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgmDF3zxIzbMgXfTqJjAhfn0qczx1LpR_WrUxncxiFFavFTFC3Rv1I_e4VJaLQGLcSojBNdZHHjNctAOFEpGVIUk0cgitrBfvyKc8U5rPSVtNFz02K_DM4Qxv_pcGGJandAsxryzpqgqTY/s72-c/antieze1.JPG
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/08/moses-iyobo-simuachi-ngo-aunt-ezekiel.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/08/moses-iyobo-simuachi-ngo-aunt-ezekiel.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago